30.2 C
Dar es Salaam
Thursday, May 23, 2024

Contact us: [email protected]

Christina: Ninawasiliana na Lil Wayne japo tumeachana

Lil Wayne and Christina Milian take romantic stroll on the streets of Philadelphia, PA.NEW YORK, MAREKANI

ALIYEKUWA mpenzi wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Lil Wayne, Christina Milian, amesema bado ana mawasiliano mazuri na mpenzi wake wa zamani. Wawili hao walikuwa na uhusiano tangu mwaka jana, lakini Agosti waliachana. “

Mimi na Lil Wayne bado tunawasiliana lakini hatuna uhusiano wa kimapenzi tena kama ilivyo miezi michache iliyopita, kwa sasa tumekuwa na urafiki mkubwa na watu wanadhani kama tuna uhusiano mpya,” alisema Christina. Wawili hao wanatarajia kufanya video ya wimbo mpya wa mrembo huyo aliomshirikisha Lil Wayne.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles