22.1 C
Dar es Salaam
Monday, July 22, 2024

Contact us: [email protected]

Christian Bella: Video yangu ni milioni 17 tu

christNA MWALI IBRAHIM

MWANAMUZIKI mahiri wa muziki wa Dansi nchini, Christian Bella ‘King of the best melody’ ametamba kuwa video ya wimbo wake mpya wa ‘Nashindwa’ ndiyo bora kati ya nyimbo za dansi nchini. Bella alisema ubora huo unatokana na kuwekeza milioni 17 kwa ajili ya video hiyo ambayo picha zake zimefanyika nchini Afrika Kusini, ambapo sasa wanakumbwa na aibu ya kushambulia wageni. Bella alichambua kwamba gharama hizo zinatokana na usafiri, maandalizi yote na kukamilika kwa video hiyo ambayo ipo katika kiwango cha kimataifa. “Ukweli ni kwamba, tunatakiwa tubadilike tuwekeze kwenye video zetu si wa Bongo Fleva tu nasi wa Dansi tufanye hivyo, maana gharama kubwa ya video ya muziki wa dansi ni milioni 5,’’ alifafanua Bella.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles