28.2 C
Dar es Salaam
Saturday, July 20, 2024

Contact us: [email protected]

Chris Brown agombea mtoto na raia wa Brazil

chris-brown-daughter-royalty-father-700x438BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
NYOTA wa muziki wa RnB nchini Marekani, Chris Brown, ameonekana kuendelea kumgombea mtoto anayedaiwa kuwa na mgogoro wa baba sahihi kati yake na raia wa Brazil, King Ba.
Baada ya hali hiyo, Chris Brown ameonekana akifanya juhudi za kupata cheti cha kuzaliwa cha mtoto huyo ili atambulike kuwa ndiye baba mzazi na juhudi hizo zinafanywa na mwanasheria wake.
Juhudi hizo alizianza baada ya kusherehekea miaka 26 ya kuzaliwa kwake akiwa na mastaa mbalimbali akiwemo bondia, Floyd Mayweather.
Sherehe hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Drai’s uliopo Las Vegas nchini humo ikiwa na mvuto huku mtoto huyo aliye kwenye mgogoro akiwa kivutio kikubwa baada ya kuonyeshwa katika runinga huku ukipigiwa wimbo wa Royal.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles