30.2 C
Dar es Salaam
Friday, March 29, 2024

Contact us: [email protected]

Bob Junior, Diamond kuja na wimbo wa pamoja

Bob JuniorNA MWALI IBRAHIM
BAADA ya kushangaza wengi alipohudhuria katika sherehe ya Zari All White Party iliyoandaliwa na msanii Abdul Nasib ‘Diamond’ anayedaiwa kutoelewana naye, prodyuza Raheem Rummy ‘Bob Junior’, ameendelea kushangaza wengi kwa madai kwamba wapo mbioni kurekodi wimbo wa pamoja na msanii huyo.
Prodyuza huyo aliweka wazi mipango yake hiyo huku akidai tayari ameshanunua baadhi ya vifaa vipya kwa ajili ya kuimarisha studio yake iwe katika ubora wa kimataifa kama studio nyingine zinazoongoza kwa ubora duniani.
“Hiyo ni zaidi ya ‘surprise’, kwa ubora wa vyombo vyangu nina imani ‘beat’ itakayotoka hapo itakuwa kwenye kiwango cha hali ya juu na kazi yetu itakuwa nzuri sana,” alimaliza.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles