26.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, May 21, 2024

Contact us: [email protected]

Chris Brown agombana na meneja wake

Chris Brown
Chris Brown

NEW YORK, MAREKANI

MSANII wa muziki wa RnB, Chris Brown, amegombana na meneja wake anayejulikana kwa jina la Mike G, kwa kumtuhumu kuiba fedha zake.

Inadaiwa kwamba msanii huyo alipoteza fedha hivi karibuni huku akiwa na meneja huyo.

Hata hivyo, meneja huyo amesema alikuwa na mpango wa kuachana na msanii huyo hivi karibuni lakini kutokana na jambo hilo atasubiri liishe ili aweze kuendelea na mambo yake.

“Nimefanya kazi na Chris kwa muda mrefu na sijawahi kumfanyia jambo baya, nilikuwa na lengo la kuachana na msanii huyo lakini kutokana na taarifa ya kupotea kwa fedha zake ziwezi kuachana naye hadi nione hatima yake, ila ninaamini sihusiki na jambo hilo.”

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles