26.9 C
Dar es Salaam
Tuesday, May 21, 2024

Contact us: [email protected]

Chizika na gurudumu la bahati kwenye Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet!

Shinda hadi mara 25000 ya dau lako na Crazy Time.

Sloti ya Crazy Time

Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet kwa kushirikiana na watengenezaji mahiri wa michezo ya kasino za mitandaoni – Evolution Gaming, wanakuletea mchezo wa kijanja uitwao Crazy Time.

Crazy Time ni mchezo wa kipekee kutoka studio za Evolution Gaming. Mchezo huu umejengwa na dhamira ya kukamilisha ndoto ambazo hudakwa na kinasa ndoto (Dream Catcher). Usisubiri kusimuliwa kwasababu, mchezo huu utakupa furaha maradufu katika kila mzunguko.

Sloti ya Crazy Time unabonasi 4 za kukata na shoka. Unaweza kurudishiwa dau lako hadi mara 25000 bila kusahau chaguo la RNG yaani (Random Number Generation) pamoja na Gurudumu la Bahati (Wheel of fortune) litakalokupa fursa ya kushinda zawadi nyingine nyingi zaidi. Chizika leo na Meridianbet na ushinde kwa kupitia http://www.meridianbet.co.tz.

Jinsi ya Kucheza Crazy Time

Ni rahisi sana kucheza sloti ya Crazy Time ndani ya Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Mchezo huu huchezwa kwenye Gurudumu la bahati ambalo lina sehemu 54, kila sehemu inakuwa na ongezeko la dau kwa namna tofauti tofauti. 

Unachotakiwa kukifanya kwenye mchezo huu wa kusisimua wa Crazy Time, ni kubashiri wapi gurudumu hili litasimama, kisha, weka dau lako hapo. Tumia uwanja namba 1, 2, 3, 5, 10 kwenye mchezo mkuu au tumia uwanja wa bashiri za bonasi. Maeneo ya kushinda bonasi zinazohusiana na michezo ni Cash Hunt, Pachinko, Coin Flip pamoja na Crazy Time.

Cash Hunt ni mkusanyiko wa picha ambazo zinahusisha skrini kubwa yenye mazidisho 108 yasiyo na mpangilo maalumu. Coin Flip ni mchezo unaohusisha uchaguaji wa “Kichwa au mwenge” ambapo shilingi yenye rangi mbili – Nyekundu na Bluu, itakupa fursa ya kuchagua upande gani shilingi hiyo inaangukia huku kwenye skirini kubwa pakioneshwa thamani hiyo. 

Pachinko ni mchezo wa bonasi ambao unahusisha ukuta wa mazidisho ya thamani ya dau lako. Ina aina 16 za mazidisho ambayo hayo yote yapo kwa ajili ya kukupa faida. Na, ya mwisho ni Crazy Time yenyewe, mchezo huu wa bonasi unamuhitaji mchezaji kufungua mlango mwekundu na kuingia kwenye ulimwengu wa kufikirika wa kuchizika.

Kwenye ulimwengu huo, utakutana na zawadi kede kede ikiwemo pesa za papo hapo. Crazy Time ina sehemu 64, pindi Gurudumu linapozungushwa unatakiwa kuboyeza kitufe chekundu ili kilisimamishe. Kikubwa zaidi, unaweza kujishindia hadi mara 25000 ya dau uliloliweka kupitia bonasi ya Crazy Time.  Chizika na kasino ya mtandaoni ya Merianbet na ushinde!!

Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles