29.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, April 24, 2024

Contact us: [email protected]

Chipukizi Ronki kutoka kimapenzi

NA SHARIFA MMASI

CHIPUKIZI kwenye muziki wa Bongo Fleva, Ramadhan Jafar ‘Ronki’, yupo mbioni kutoka na wimbo wake wa kwanza wa kimapenzi alioupa jina ‘Mapenzi Siri’.

“Nimeingia kwenye familia ya muziki wa bongo fleva nikiwa nafahamu ushindani wa hali ya juu uliopo kwenye muziki wa sasa, lakini kipaji changu ndicho kinachonipa jeuri ya kuja kufanya vizuri siku zijazo,’’ alisema chipukizi huyo.

“Tayari nimeachia wimbo wa kwanza tangu nijikite kwenye muziki na ninamshukuru Mungu unaendelea kufanya vema,” alisema Ronki.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles