28.7 C
Dar es Salaam
Thursday, June 13, 2024

Contact us: [email protected]

Chipukizi asaka meneja wa kusimamia kazi zake

OMARY JUMA
OMARY JUMA

NA JOCELYN JAMES,

UWEZO na kipaji kikubwa cha msanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva, Omari Juma, kimemfanya aweke wazi nia yake ya kutaka watu wa kusimamia kazi zake ili kipaji chake kisipotee.

Msanii huyo kwa sasa hana usimamizi wa mtu yeyote katika kazi zake za muziki, anaamini akipata msimamizi atafanikiwa kujitangaza kitaifa na kimataifa.

“Nimeshatoa nyimbo tatu ukiwemo ‘Mtafutaji’, ‘I Love You’ na ‘Isiwe Sababu’ ni nyimbo nzuri lakini ili zifike kiwango kinachotakiwa lazima zisimamiwe vyema ndiyo maana natafuta promota,” alisema msanii huyo

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles