30.8 C
Dar es Salaam
Tuesday, February 27, 2024

Contact us: [email protected]

‘Champion’ yamvusha boda Skpado Di Shatta

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Mkali wa muziki kutoka nchini Rwanda, Skpado Di Shatta, amesema muda umefika wa kuvuka mipaka ya nchi yake kupitia albamu aliyoitoa hivi karibuni, Champion.

Shatta ameiambia Mtanzania Digital kuwa yeye na timu yake Chozen Few Production, wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa ndani ya Rwanda na sasa ni muda wa kuvuka boda.

“Albamu ya Champion imefanya vizuri hapa Rwanda, naona muda umefika wa kuvuka boda na nimegudua nina mashabiki wengi Afrika Mashariki kikubwa naomba sapoti yao kwenye albamu hii na nimeachia video ya ngoma yangu mpya, KACI,” amesema Di Shatta.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles