27.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, November 26, 2024

Contact us: [email protected]

CAG: Udhaifu neno la kawaida kwenye ukaguzi

Na AZIZA MASOUD

-DAR ES SALAAM

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, amesema neon ‘udhaifu’ ni lugha ya kawaida katika ukaguzi wa hesabu na ndiyo maana kwenye ripoti zao hulitumia mara kwa mara kuonyesha msisitizo.

Wakati akisema hivyo Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameshikilia msimamo wake dhidi ya neno hilo lililotolewa na kiongozi huyo na kusema bado ni udhalilishaji kwa Bunge.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana katika mkutano wake alioufanya kwa dakika 2:52, CAG ambaye alikuwa akijibu hoja zilizotolewa na Spika wa Bunge Job Ndugai, aliyemtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili Bunge Januari 21, mwaka hu  kujibu hoja  ya kwa nini alikiita chombo hicho ni dhaifu.

Profesa Assad ambaye hakutoa nafasi ya …

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya gazeti la MTANZANIA.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles