27.7 C
Dar es Salaam
Saturday, June 15, 2024

Contact us: [email protected]

BURUDANI YA WIKIENDI IPO KWENYE LALIGA, NYASI ZITAUMIA!

Mchongo wa Odds Bora Sokoni Upo Meridianbet Pekee.

Msimu wa 2021/22 unaendelea kushika kasi. Wikiendi hii ni EPL, LaLiga, Ligue 1, FA Cup na Copa Diego Maradona kutimua vumbi viwanjani. Hakika, zinazopata kashkash ni nyasi, Meridianbet tunakupa mipango tu…

Wolverhampton Wanderers watakua uwanjani kuwaalika Leeds United katika muendeleazo wa EPL ijumaa hii. Kimahesabu, huu ndio ule wakati wakusema “kila mtu ashinde mechi zake” msimu ndio unayoyoma hivyo. Wolves watapanda na kuwashusha Leeds nafasi au itakua kinyume chake? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.20 kwa Wolves.

Kunako FA Cup, Middlesbrough watawaalika Chelsea. Chris Wilder ameonesha uwezo wa kupindua matarajio ya vilabu vikubwa baada ya kuwatoa Man United na Spurs kwenye hatua za awali. Atafanikiwa kwa The Blues au ndio mwisho wa mabavu? Maliza utata na Odds ya 1.47 kwa Chelsea.

Patashika nguo kuchanika Jumapili hii. Real Madrid wakiwa nyumbani, watawaalika FC Barcelona! Hii ni El Clasico, mchezo mkubwa kwenye historia ya soka la Uhispania. Timu zote zipo kwenye kiwango kizuri kwa sasa, kufunga zaidi ya magoli 2 kwenye mchezo mmoja sio tatizo kwa timu zote. Zinapokutana uso kwa uso, ubora ni ule ule au utaongezeka? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.11 kwa Madrid.

Ligue 1 itashuhudia mtanange wa AS Monaco vs PSG. Kylian Mbappe anakutana na timu iliyomlea na kumtambulisha kwenye ulimwengu wa soka. Atarudisha fadhila au atawaadhibu kama maadui? Miaka ya nyuma, timu hizi zilikua ni nembo ya ligi hii lakini, Monaco wameshuka kiwango kuliko kawaida. Hii hapa Odds ya 1.94 kwa PSG.

Usiku wa kuamkia Jumatatu, kutapigwa mtanange mkali kule Argentina kunako Copa Diego Maradona. River Plate vs Boca Juniors, uhakika wa nyavu kutikisikia unaendana na uhakika wa Odds bora ndani ya Meridianbet. Nyimbo za hamasa kutoka kwa mashabiki wa vilabu hivi, ni burudani tosha uwanjani. Hii hapa Odds ya 2.03 kwa River Plate!

Meridianbet Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles