27.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, April 23, 2024

Contact us: [email protected]

BREAKING: Mkurugenzi Mtendaji wa jamii forums akamatwa na jeshi la polisi

cupldfywcaattyh

Mkurugenzi Mtendaji wa jamii forums, Maxence Melo amekamatwa na jeshi la polisi kituo cha kati Dar es Salaam leo kwa makosa ya mtandao.

Inasemekana kuwa Maxence atafikishwa mahakamani hapo kesho kwa kosa la kushindwa kutoa ushirikiano kwa mamlaka. Inasemekana kumekuwa na shinikizo linalomtaka Mkurugenzi huyo kutoa majina ya baadhi ya watumiaji wa mtandao huo mkubwa wa masuala mbalimbali ya jamii wa jamii forums.

Taarifa zaidi zitakujia baadaye.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles