26.7 C
Dar es Salaam
Saturday, February 24, 2024

Contact us: [email protected]

Bobby Brown adai binti yake Bobbi anahudhuria shoo zake

bobby-brown-bobbi-kristinaNEW YORK, MAREKANI

BABA wa marehemu, Kristina, Bobby Brown aliwaeleza mashabiki wake alipokuwa jukwaani akitumbuiza kwamba, ‘Bobbi ameamka na anatazama onyesho langu’ akimaanisha Kristina anamuona anachofanya jukwaani hapo.

Licha ya kueleza hayo, mashabiki waliokuwepo katika onyesho hilo hawakumuelewa alichokuwa akimaanisha ingawa zilisikika tetesi kwamba huenda walielewa kwamba Bobbi Kristina hakuwa na ugonjwa uliomkumba Januari 31 na kupelekea kifo chake.

Lakini aliposema ‘anamtazama’  ikaelezwa kwamba alikuwa akimzungumzia binti yake ambaye ni marehemu anaamini ameamka na anamwangalia huko alipo.

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles