21.5 C
Dar es Salaam
Tuesday, July 23, 2024

Contact us: [email protected]

Bob Junior: Tutaonana baada ya Oktoba 25

zbobjunior1NA THERESIA GASPER,

PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Raheem Rummy ‘Bob Junior’, amewataka mashabiki wake waonane baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 kwa kuwa sasa amebanwa na shughuli za uhamasishaji wa upigaji wa kura katika
kampeni za wagombea urais.

“Sina mpango wa kuachia wimbo wala albamu yangu kwa sasa, lakini baada ya uchaguzi nitafanya hivyo kwa kuwa nitakuwa na muda mwingi wa kukaa studio na kuandaa muziki mzuri ambao kwa sasa sipati muda huo,” alisema

Bob Junior mkali wa wimbo wa ‘Nichumu’ anakuwa miongoni mwa wasanii wengine wengi wa muziki huo waliosimamisha shughuli zao za kimuziki kupisha shughuli za kisiasa ambapo wengi wao wameahidi kurudi upya na
kutoa upya kazi zao za muziki baada ya Oktoba 25 uchaguzi utakapoisha na kutangazwa rais, wabunge na madiwani
wa maeneo mbalimbali.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles