22.5 C
Dar es Salaam
Sunday, July 21, 2024

Contact us: [email protected]

Betika yazindua kampeni ya ‘Mtoko wa Kibingwa’

Na Beatrice Kaiza, Mtanzania Digital

KAMPUNI ya Mchezo wa kubashiri Betika wazindua rasmi Kampeni yake ya “Mtoko wa Kibingwa” kwa Msimu wa tano jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Februari 7, 2023 jijini Dar es Salaam Meneja Mauzo wa Betika, Tumaini Maligana amesema kampeni hiyo imeanza rasmi leo Februari 7, na inatarajiwa kuhitimishwa rasmi Aprili 16,2023 siku ya Derby ya Simba na Yanga.

Hata hivyo, amesema kampeni hiyo ni msimu wa tano ambapo itaendesha droo yake kila wiki na kuchukua washindi 10 hadi kukamilika kwa washindi 100.

Pia ameeleza utofauti wa Msimu wa 5 ni kuongezeka kwa idadi kubwa ya washindi kuliko misimu iliyopita pamoja na kuwapa fursa washindi kushuhudia Mechi kubwa ya derby ya 3 Afrika .

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles