22.9 C
Dar es Salaam
Sunday, June 23, 2024

Contact us: [email protected]

Ben Pol aipa albamu yake jina la mtoto wake

Ben PaulNA THERESIA GASPER

MSANII wa Bongo Fleva nchini, Benard Paul ‘Ben Pol’, yupo katika maandalizi ya mwisho ya kuachia albamu yake aliyoipachika jina la mwanaye wa kwanza, Mali aliyezaliwa hivi karibuni.

“Nimefanikiwa kukamilisha albamu yangu bila msaada wa mtu mwingine yeyote ndiyo maana nimeamua kuiita jina la mwanangu Mali kwa sababu kila kitu nimefanya mwenyewe na kuenzi jina la mwanangu,” alieleza.

Alisema kabla ya kuachia albamu hiyo anatarajia kuachia video inayoitwa ‘Moyo’ akiwa ameifanyia nchini Afrika Kusini chini ya mtayarishaji, Lolpop katika studio ya Tetemesha.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles