24.2 C
Dar es Salaam
Thursday, April 25, 2024

Contact us: [email protected]

Baraza la Madiwani Mwanga lataka tembo wadhibitiwe

Na Safina Sarwatt, Mwanga

Baraza la madiwani halmashauri ya wilaya Mwanga mkoani Kilimanjaro limeiomba serikali kudhibiti makundi ya tembo katika kata Toloha na kwako ambayo yamekuwa yakivamia mazao ya wakulima na kwamba wamekuwa tisho kwa wananchi.

Aidha, tembo hao  wanadaiwa kutoka hifadhi ya Tsavo nchini Kenya.

Hayo yamesemwa February 15, mwaka huu  na Diwani wa Kata ya Toloha, Palesio Makange, kwenye mkutano wa baraza hiyo halmashauri uliokaa kwa ajili ya kujadili  taarifa ya Utekelezaji wa shughuli za Maendeleo katika Kata kwa kipindi cha Robo ya Pili  Oktoba hadi Desemba 2020/2021 mkutano uliofanyika katika ukumbi wa shule ya sekondari Mwanga.

Makange amesema tembo hao wamekuwa wakivamia mashamba ya wakuli na kusababisha uharibifu mkubwa wa mazoa ya wananchi nakuombe serikali kuwa fudia wananchi.

Kwa upande wake  mwenyekiti wa baraza la madiwani wilaya ya Manga, Saleh Mkwizu amesema sula la wanyama pori halmashauri inashirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii  pamoja na Mamalaka za wanyama pori ili kuona uwezekano wa kuwadhibiti wanyama hao.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles