21.4 C
Dar es Salaam
Monday, July 22, 2024

Contact us: [email protected]

Azpilicueta amalizana na FA

London, Uingereza

Hatimaye Chama cha Soka England (FA) kimemfutia adhabu ya kukosa mechi tatu za msimu ujao wa Ligi Kuu nahodha wa Chelsea, Cesar Azpilicueta.

Azpilicueta alishukiwa na rungu hilo baada ya kulimwa kadi nyekundu katika mchezo wa hivi karibuni dhidi ya Aston Villa, ambao Blues walishinda mabao 2-1.

Katika mechi hiyo ya mwisho kwa msimu huu, nyota huyo alipewa ‘umeme’ kwa kile mwamuzi alichokiona kuwa ni kumchezea rafu kiungo wa Villa, Jack Grealish.

Chelsea watashuka dimbani Jumamosi ya wiki hii kumenyana na Manchester City katika mtanange wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles