30.1 C
Dar es Salaam
Saturday, June 15, 2024

Contact us: [email protected]

Aviator summer flight ya Meridianbet: Promosheni bomba ya kasino msimu huu wa sikukuu!

Burudani na ushindi ndiyo lugha ya kasino bomba ya meridianbet!

Huhitaji kuwa ‘serious’ sana unapojivinjari viunga vya kasino bomba ya mtandaoni ya Meridianbet. Ushindi unaenda sambamba na burudani. Mchezo wa Aviator Summer Flight.

Ni Promosheni kabambe kabisa msimu huu wa Sikukuu za Krismas na Mwaka mpya ambayo inaanza Disemba 23 mpaka Disemba 31, 2022. Huu ni mchezo rahisi unaokupa nafasi kubwa ya ushindi kwa kupaa angani huku ukijipatia mvua ya zawadi nyingi na kukuhakikishia burudani mwanzo mpaka mwisho.

Mchezo huu ni kama kuwepo mawindoni angani, unamuwinda ndege unayempenda sana na hauwezi kulala bila kumpata. Lakini, unafurahia windo lako kwa sabababu ya madoido ya ndege huyo aliye kwenye malengo yako. Unatambua fika, vyovyote anavyoruka, lazima atanasa tuu!

Hii ni Aviator Summer Flight ni mchezo ambao kazi yako ya kuusaka ushindi ni ndogo sana. Ni kuiwinda Odds tamu zaidi kwako ya kukulipa kabla ndege haijapaa angani.

Kwenye skrini yako iliyopambwa na picha maridadi utaona machaguo ya kukusanya ushindi wako yakiongezeka thamani kila baada ya sekunde. Unahitaji kuwa na spidi na mtaalamu wa kukadiria muda ambao ndege inaweza kupaa, ushindi kwako ni kukusanya Odds kabla ndege haijaruka. Unaipata picha hapo?

Hauna kubwa sana la kufanya zaidi ya kuburudika kwa kubonyeza alama ya kukusanya kila inapoonekana kukuruhusu kukusanya. Ukiacha umaridadi wa picha zinazokuvutia kuwinda ushindi wako, mchezo huu unaambatana na muziki mwanana unaovutia na kuchochea jitihada zako za ushindi.

Ukishinda Aviator Summer Flight unapata nini?

Ushindi ni rahisi utakapocheza sloti hii bomba utapata 20 pointi kwa watu 10 ambapo pointi 2 kwa kila 3000 na pointi 20 kwa kila mzuunguki zitatolewa.

  • Mshindi wa Kwanza atapata 50 x 5000 = 250,000/= Beti ya Bure kwenye Aviator
  • Namba 2, 30 x 5000 = 150,000/= Beti ya Bure kwenye Aviator
  • Namba 3, 20 x 5000 = 100,000/= Beti ya Bure kwenye Aviator
  • Namba 4-10, 10 x 5000 = 50,000/= Beti ya Bure kwenye Aviator

Ni wakati wa kuonesha urubani wako kwenye Aviator Summer Flight, kumbuka kasino ya mtandaoni ya meridianbet ina sloti nyingi sana zinazokupa nafasi ya ushindi kirahisi. Cheza kibinga! Onesha Ubingwa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles