22.5 C
Dar es Salaam
Saturday, June 22, 2024

Contact us: [email protected]

AT: Nitatumia lugha ya Kihindi kwenye nyimbo zangu

AT...NA MWALI IBRAHIM
BAADA ya kuweza kuitumia lugha ya Kihindi vizuri, msanii wa muziki wa mduara nchini, Ally Ramadhani ‘AT’ amesema anatamani kuimba mahadhi ya Kihindi.
AT alisema lugha Kihindi ikitumika katika wimbo inaleta hamasa wakati wa kuimba na kwa anayeisikiliza.
“Mara nyingi ninapokuwa nafanya mazoezi ya kuimba huwa najitahidi kuimba nyimbo za Kihindi na Kiingereza kwa pamoja zinanisaidia kuniongezea nguvu na kuzidi kuwa imara katika uimbaji wangu, napenda sana Kihindi,” alisema.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles