Amani atoa zawadi kwa mashabiki wake

0
1169

amani4NAIROBI, Kenya

STAA wa muziki nchini Kenya, Cecilia Wairimu ‘Amani’, ametoa zawadi ya video yake mpya ya ‘Heart breaker’ kwa mashabiki wake waliokuwa wakimsubiri kwa muda mrefu.

Msanii huyo alikuwa kimya kwa muda mrefu kiasi cha kudhaniwa ameachana na muziki. Wimbo huo uliachiwa mwezi uliopita na video yake imetoka juzi,

“Najua mashabiki wangu walivunjika moyo baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kuachia wimbo, lakini kwa sasa watakuwa na furaha kutokana na video hiyo mpya, kikubwa wanatakiwa kuendelea kupokea kazi zangu mbalimbali zijazo,” alisema Amani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here