26.1 C
Dar es Salaam
Friday, January 3, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Ali Kiba kufunga mwaka Desemba 29

BRIGHITER MASAKI

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba, amewataka mashabiki wake kukaa tayari kwa ajili ya kupokea kazi zake mbili za kufungia mwaka pamoja na uzinduzi wa kinywaji chake cha Mofaya Energy Drink, Desemba 29.

Siku hiyo itajulikana kwa jina la Funga mwaka na King Kiba, ambapo uzinduzi huo utafanyika kwenye Ukumbi wa Next Door Arena, jijini Dar es Salaam.

“Kuelekea kwenye show yangu kubwa ya Funga Mwaka na King Kiba  Desemba 29, pale Nextdoor-Arena,nitaachia nyimbo zangu mbili kabla mwaka haujaisha pamoja na kuzindua rasmi kinywaji changu cha Mo faya Energy Drink,” alisema Kiba.

Msanii huyo aliongeza kwa kusema, onyesho lake jingine na mkongwe wa muziki kutoka nchini Afrika Kusini, Yvonne ChakaChaka pamoja na Christian Bella, litafanyika Februari mwakani.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles