26 C
Dar es Salaam
Monday, March 4, 2024

Contact us: [email protected]

Afrolouis aachia Go Crazy

Na Mwandishi Wetu

Msanii wa kizazi kipya anayefanya vizuri nchini Marekani, Mike Tah maarufu kama ‘Afrolouis, ametambulisha kazi yake nyingine inayofahamika kama Go Grazy.

Afrolouis, ametamba kuwa Go Crazy ndio wimbo bora wa kufungulia mwaka 2021 kwani mashabiki wameupokea vizuri kuanzia audio na video ambayo tayari ipo kwenye channeli yake ya YouTube.

Akizungumzia maudhui ya wimbo huo, amesema unahusu mapenzi ambapo ndani amemzungumzia msichana.

“Nashukuru mapokezi ya Go Crazy yamekuwa mazuri, ni wimbo wa mapenzi ambao unamzungumzia msichana anayempagawisha jamaa, hivyo umebeba simulizi nzuri, naamini mashabiki zangu wa Afrika wataufurahia Go Crzy ambao tayari upo Youtube,” amesema Afrolouis mwenye asili ya Afrika.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
584,000SubscribersSubscribe

Latest Articles