32.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, October 20, 2021

Abochi Music aachia ‘Show Me Something’

Accra, Ghana

MSANII wa kizazi kipya kutoka nchini Ghana, Abochi Music amewaomba wapenzi wa muziki huo kuipokea ngoma yake mpya Show Me Something aliyomshirikisha Medikali.

Abochi ameiambia Mtanzania Digita kuwa anaamini Afrika Mashariki ana mashabiki wengi kwani amekuwa akipata pongezi nyingi kutoka pande hizo.

“Nimeachia rasmia Show Me Something, audio na video hivyo naomba sapoti kutoka kwa mashabiki wote wa muziki mzuri maana ni ngoma ya kuchezeka na ina vibe mwanzo mwisho,” amesema Abochi.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
162,579FollowersFollow
522,000SubscribersSubscribe

Latest Articles