Jina langu ni Anna kutoka pande za Pwani, Tanzania, ni mama wa watoto wawili ambao nawapenda sana, hivi majuzi nilimfumania mume wangu akiwa amelala kitanda kimoja na mdogo wangu wa tumbo moja.
Tukio hilo limenifunza kuwa kuna watu hata uwafanyie kitu gani kwao ni vigumu kuridhika, hata ujitoe kwa kiasi gani nyoyo zao zinaendelea kuwaka tamaa na kutafuta mambo mengine sawa na yale ambayo umewatendea wa kuwapa.
Nilikumbana na tukio hilo baada ya kutumia dawa za Dr Bokko ambazo zinakuwezesha kujua mienendo ya mume wako, nilipata namba yake katika moja magazeti huku nchini ambazo na kuwasiliana naye mara moja.
Niliamua kufanya hivyo baada ya kuaona ukaribu wa kupita kiasi kati ya mume wangu na mdogo wangu hadi nikahisi kuna jambo ambalo linaedelea kati yao bila ya mimi kujua.
Kabla ya kupata dawa kutoka kwa Dr Bokko nilimuuliza mume wangu kama amewahi kutembea na mdogo wangu, jibu lake lilikuwa ni hapana wala hana kabisa hisia naye kwani anajua ni ndugu yangu.
Naye mdogo wangu nilimuuliza akakataa hadi akaanza kulia na kusema namfikiria vibaya, akasema mimi kama dada yake sipaswi kuwa na fikra hizo hata kidogo.
Basi sikuwa na neno mie, nikatumia dawa niliyopata kutoka kwa Dr Bokko, nikawa mtulivu kungoja majibu yenyewe itakuwaje, baada ya siku chache ndipo nikapata majibu yasiyo na shaka kuwa wawili wale walikuwa ni wapenzi wa siku nyingi tu.
Nakumbuka siku hiyo mdogo wangu aliaga asubuhi na mapema kuwa anaenda kazini kama kawaida yake, mume wangu alisema haendi kazini maana hali yake ya kiafya sio nzuri kabisa.
Baada ya kupata chai na mkate, nami nilioga na kuondoka zangu kwenda kazini, kwenye muda kama saa saba mchana nilipata dharura nikaamua kurudi nyumbani mara moja badala ya saa 10 ambayo hurudi siku zote.
Kufika nyumbani wakati anataka kuingia chumbani kwetu na mume wangu, nikakuta mlago umefungwa, nikaita sana hakuitikia.
Niliamua kupiga simu yake ikaitia huko chumbani na ndipo nikapata uhakika kuwa yupo ndani.
Nilimwambia kwa hasira fungua huo mlango wa niuvunje, basi alifungua ndipo nikamkuta na mdogo wangu, mume kwa aibu alitoka na kukimbia.
Mdogo wangu alibaki analia na kuniomba msamaha, na kusema shemeji yake alikuwa anampa fedha nyingi kiasi kwamba alikuwa anashindwa kumkatalia.
Kwa hakika dawa za Dr Bokko ni kiboko, mtaalam huyu anaweza kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, kukupa mvuto wa kimapenzi, dawa za kuongeza nguvu za kiume n.k. Mpigie sasa +255618536050 ili upate msaada.