Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Triyoso Zatamito akisaini kitabu cha wageni baada ya kupata maelezo ya miradi inayotekelezwa na Taasisi ya Nyumba ya Watumishi Housing Investment(WHI) alipotembelea Banda la @watumishi_housing_investments lililopo katika jengo la Karume ndani ya maonyesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba jijini Dar es Salaam leo Julai 7, 2022.