HomeBiashara na Uchumi Biashara na UchumiKitaifa TBL yazindua Mfumo bora wa malipo kwa wakulima By Mtanzania Digital May 31, 2022 0 1894 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa mtandao wa malipo kwa wakulima unaojulikana kama ‘BanQu’ wa Kampuni ya TBL na Vodacom Tanzania Plc kupitia M-Pesa, Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom, Sitholizwe Mdlalose, akifafanua jambo wakati wa kuzindua Mfumo wa mtandao wa malipo kwa wakulima unaojulikana kama ‘BanQu’ wa Kampuni ya TBL na Vodacom Tanzania Plc kupitia M-Pesa, Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Jose Moran akielezea jambo wakati wa kuzindua Mfumo wa mtandao wa malipo kwa wakulima unaojulikana kama ‘BanQu’ wa Kampuni ya TBL na Vodacom Tanzania Plc kupitia M-Pesa, Dar es Salaam. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleKamati kuzuia uhalifu baharini yakutana DodomaNext articleTUCTA wampongeza Rais Samia nyongeza mishahara, kupandisha vyeo Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz/ Related Articles Kitaifa Rais Samia kuongoza Maadhimisho ya Miaka 25 ya TAWJA Arusha Kitaifa Wazawa Mkoa wa Kagera wahimizwa kuwekeza nyumbani Kitaifa Viongozi wa dini Mkoa wa Kagera wafanya maombi maalum LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow593,000SubscribersSubscribe Latest Articles Kitaifa Rais Samia kuongoza Maadhimisho ya Miaka 25 ya TAWJA Arusha Kitaifa Wazawa Mkoa wa Kagera wahimizwa kuwekeza nyumbani Kitaifa Viongozi wa dini Mkoa wa Kagera wafanya maombi maalum Kitaifa LATRA CCC wataka watoa huduma kuzingatia matakwa ya leseni zao Kitaifa DC Mpogolo awataka wenyeviti wa mitaa kujenga umoja, mshikamano Load more