Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa mtandao wa malipo kwa wakulima unaojulikana kama ‘BanQu’ wa Kampuni ya TBL na Vodacom Tanzania Plc kupitia M-Pesa, Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom, Sitholizwe Mdlalose, akifafanua jambo wakati wa kuzindua Mfumo wa mtandao wa malipo kwa wakulima unaojulikana kama ‘BanQu’ wa Kampuni ya TBL na Vodacom Tanzania Plc kupitia M-Pesa, Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Jose Moran akielezea jambo wakati wa kuzindua Mfumo wa mtandao wa malipo kwa wakulima unaojulikana kama ‘BanQu’ wa Kampuni ya TBL na Vodacom Tanzania Plc kupitia M-Pesa, Dar es Salaam.