26.1 C
Dar es Salaam
Friday, January 3, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Harmonize amng’ang’ania tena Diamond

Harmonize na diamondNA GLORY MLAY

MKALI wa wimbo wa ‘Aiyola’ na ‘Kidonda Changu’, Harmonize, amezidi kumng’ang’ania mkali wa Bongo Fleva Afrika Mashariki, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwa kuendelea kumshirikisha katika wimbo wake mpya wa ‘Bado’.

Harmonize alisema ameamua kumshirikisha mkali huyo kutokana na maoni ya mashabiki wao kufananisha uimbaji wao, hivyo wameamua kuimba pamoja ili mashabiki wao waone utofauti wao.

Beat ya wimbo huo imetengenezwa na prodyuza Fraga ambaye awali alimtumia midundo mitatu tofauti akachagua huo.

Pia video ya wimbo huu imefanyika nchini Afrika Kusini na muongozaji ni Nick, aliyeongoza video ya Aiyola ya Harmonize, ‘Make Me Sing’ ya Aka na Diamond, ‘Love Boat’ ya Kcee na Diamond na ‘Walk it off’ ya Fid Q.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles