29.2 C
Dar es Salaam
Sunday, January 5, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Neymar atangaza kustaafu

RIO, Brazil

MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Brazil, Neymar, amesema fainali za Kombe la Dunia za mwakani huko Qatar zitakuwa za mwisho kwake.

Alichokisema nyota huyo mwenye umri wa miaka 29 ni kwamba haoni kama akili yake iko kwenye mchezo wa soka.

“Nafikiri itakuwa mara ya mwisho kucheza Kombe la Dunia,” amesema staa huyo wa PSG na kusisitiza: “Naliona hilo kwa sababu sijui kama nina uimara wa akili kwenye soka.”

Brazil wataelekea Qatar kusaka taji la sita la michuano hiyo baada ya kuishia robo fainali miaka mitatu iliyopita.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles