24.9 C
Dar es Salaam
Sunday, April 21, 2024

Contact us: [email protected]

Yobele aachia kitu ‘Mahubiri ya Moto’

Na CHRISTOPHER MSEKENA

MWIMBAJI anayefanya vizuri kwenye Injili, Deogratius Yobele, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuipokea audio ya wimbo wake, Mahubiri ya Moto’ alioachua hivi karibuni.

Yobele, amelipasha MTANZANIA kuwa anatamani kila mtu asikilize ujumbe uliopo kwenye wimbo huo hivyo kila mwenye uwezo wa kuingia YouTube na mitandao mingine aitafute ngoma hiyo atabarikiwa.

“Tayari nimeachia audio ya Mahubiri ya Moto, ni wimbo wenye mguso wa aina yake naomba watu wote tuingie kwenye chaneli yangu ya YouTube kuisikiliza naamini haitabaki kama ulivyo pia mashabiki wapya usisahau ku-subscribe,” alisema Yobele.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles