26 C
Dar es Salaam
Monday, March 4, 2024

Contact us: [email protected]

Yanga yaanza mabadiliko ya katiba

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

Mwenyekiti wa zamani wa Klabu ya Yanga, Wakili Imani Madega ameteuliwa kuwa miongoni mwa wajumbe nane wanaounda Kamati ndogo ya Mabadiliko ya Katiba ya Yanga.

Taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga leo Desemba 8, 2020 imesema Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Dk. Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji imewateua WanaYanga nane kuunda kamati hiyo ya mabadiliko.

Mbali na Imani Madega wengine walioteuliwa ni, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Wakili Raymond Wawa, Wakili Sam Mapande, Wakili, Audats Kahendangile,Wakili Mark Anthony, Mohamed Msumi, Pastrory Kiyombia na Debora Mkemwa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
584,000SubscribersSubscribe

Latest Articles