Xabi Alonso apigiwa hesabu Anfield

0
516


MABOSI wa Liverpool wanafuatilia maendeleo ya kiungo wao wa zamani, Xabi Alonso, ili kuona kama amefikia levo za kupewa timu endapo Jurgen Klopp ataondoka zake.

Alonso mwenye umri wa miaka 39, kwa sasa ni kocha wa timu ya wachezaji wa akiba ya Real Sociedad, ikikumbukwa pia aliinoa U-14 ya Real Madrid misimu miwili iliyopita.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here