25.3 C
Dar es Salaam
Friday, January 3, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

will smith, jada mapenzi shatashata

LOS ANGELES, MAREKANI

STAA wa muziki na filamu nchini Marekani, Will Smith, amewajibu wabaya wake kwa kusema hana mpango wa kuvunja ndoa yake na mke wake Jada Pinkett.

Smith na mke wake Jada Pinkett, wamekuwa kwenye ndoa kwa kipindi cha miaka 21 sasa, hivyo kumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa wawili hao wapo kwenye mgogoro ambao unaweza kuwafanya wakaachana.

“Familia yetu imekuwa kubwa sana kwa sasa, hatuwezi kufikiria kuachana kama watu wanavyodhani kupitia mitandao ya kijamii.

“Ni vigumu sana kuzuia habari za mitandaoni, lakini tunafurahi kuona ndoa yetu inakuwa na historia mbalimbali zingine zikiwa za uzushi,” alisema Smith.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles