26.7 C
Dar es Salaam
Monday, March 4, 2024

Contact us: [email protected]

Wikiendi ya dabi kubwa na Odds nono!

Meridianbet – Bashiri Popote, Wakati Wowote!

Hii ni wiki ya washindi kama ukiichagua Meridiabet. Odds nono na machaguo kedekede yanapatikana huku! Zaidi ya michezo 1000 kuchezwa wiki hii, ni fursa ya kutengeneza mamilioni ya pesa. Kubwa zaidi, ni muendelezo wa Ligi ya Mbalimbali EPL, La Liga, Serie A, Ligue 1 na nyingine kibao. Mchongo upo hivi;

Dabi ya Italia (Il derby d’Italia) inawakutanisha Napoli dhidi ya Juventus katika dimba la Diego Armando Maradona leo Ijumaa. Napoli anaongoza Ligi kuu y aItalia akiwa amepoteza mchezo mmoja pekee msimu huu, wakati Juventus akiwa amepoteza mechi 2 mpaka sasa. Napoli hawajapoteza mchezo wakiwa nyumbani dhidi ya Juventus tangu mwaka 2019. Odds ya 2.01 Napoli kushinda inaweza kuboost mkeka wako!

Pale EPL inapigwa Dabi ya Manchester mapema kabisa siku ya Jumamosi, Manchester United watakuwa wenyeji wa Manchester City kwenye dimba la Old Traford. Vita ya mahasimu hawa waliokatika nafasi ya 2 na 4 inazidi kuchochewa na ubora wa timu hizo kwa sasa. Mshambuliaji Marcus Rashford kufunga goli ana Odds ya 3.43 wakati Erling Haaland akiwa na Odds ya 1.69. machaguo zaidi na Odds nono endelea kubeti na meridianbet. 

Jumamosi kuna Odds kibao za ushindi, Kule La Liga – Girona (2.45) watavaana na Sevilla (2.89) wakati Real Sociedad (2.45) wakivaana na Athletic Bilbao (2.99). EPL – Brighton (3.23) dhidi ya Liverpool (2.11) katika dimba laAmerican Express Community. Serie A – Lecce (5.68) dhidi ya AC Milan (1.60), Inter Milan (1.27) vs Verona (9.40). Ligue 1 – Marseille (1.39) dhidi ya Loriente (7.25),Lyon (1.60) dhidi ya Strasbourg (5.09). Kwa Odds hizi ushindi ukiwa na meridianbet ushindi kwako ni jambo la kawaida.

Siku ya Jumapili, Dabi ya London Tottenham wakiwakaribisha vinara wa EPL Arsenal-Washika Mtutu hawajashinda katika uwanja wa Tottenham katika misimu 3 iliyopita wamepewa Odds ya 2.20 kuibuka na ushindi ugenini dhidi ya vijana wa Conte.

Baada ya kushinda mchezo mmoja kati ya michezo 11 iliyopita, Chelsea watakuwa nyumbani Stamford Bridge dhidi ya Crystal Palace siku ya Jumapili. Je, Potter ataweza kurekebisha makosa. Hii hapa Odds ya 1.67 kwa Chelsea. Hii ndio nyumba ya ushindi, Meridianbet!

Mabingwa wa Ufaransa, PSG hawaja shinda ugenini  katika dimba la Roazhon Park dhidi ya Rennes tangu mwaka 2018. Matajiri wa Paris wamepoteza mchezo mmoja pekee msimu huu, wataweza kuvunja uteja dhidi ya Rennes. Odds ya 4.41 mchezo huu kumalizika kwa sare, weka beti yako sasa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
584,000SubscribersSubscribe

Latest Articles