26.1 C
Dar es Salaam
Friday, January 3, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Wikendi Hii Katika Betway Tanzania

Nations League Finals

Ziada ya Juma

Mbivu na mbichi zitatambulika Jumapili hii katika fainali ya michuano ya mataifa ya ulaya. Nasi Betway Tanzania tumekuandalia viteuzi murwa vya kukupa ushindi huku ukishabikia timu yako.

Tunakupa ziada ya Tsh 10,000 utumie kama amana  ikiwa ubashiri wako utakuwa sahihi. Kupata ziada hii unahitajika kubashiri kuwa timu zote zitapata bao katika mechi ya fainali. Ziada hii inaweza kutumika kati ya tarehe 8 na 10 Oktoba tu. 

Magoli 

Katika fainali tunakupa nafasi ya kupata ushindi kutokana na viteuzi vya kila aina tulivyokupangia wewe. Je, waamini kuwa timu yako itafunga mabao mengi? Basi tunakupa nafasi ya kuiteua timu hii kwa idadi ya mabao aidha katika kipindi cha kwanza au cha pili. Tunakupa nafasi ya kuchagua ni timu gani itakayopfunga ya kwanza na ni katika kipindi kipi. Iwapo unadhani kuwa wafungaji wa mabao watakuwa watu tofauti au itakuwa ni mtu mmoja tu tuna kupa kichujo kile.

Ni nani atakayefunga bao la mwisho kwenye fainali? Bashiri hili na amana yako inaweza kujumlishwa kwa 2.18 na 1.97 France wakifunga.

Dakika 90 

Katika muda wa kawaida wa mechi ni mengi yanayoweza kutokea. Tunakupa nafasi ya kuweza kujipatia hela kutokana na matukio haya.Katika muda huu unaweza kujishindia hela kwa kubashiri yafuatayo: ni timu gani itakayoutwaa ushindi katika kipindi cha kwanza au cha pili, ni timu ipi itashinda mechi baada ya dakika ishirini, ni mabao mangapi yatafungwa na ni timu gani itakayomaliza mechi bila kufungwa.

Mechi Za Kimataifa

Timu za kadanda ulimwenguni kote zitakuwa zikishiriki katika michuano tofauti wikendi hii ili kujikatia tiketi za kushiriki katika kombe la dunia mwakani. Hivyo basi kuna mechi chungu nzima za kusisimua nasi tunakupa nafasi ya kuzidisha uhondo huu ukijishindia hela katika masoko tuliyokuandalia.

Iwapo ungetaka kubashiri matukio ya moja kwa moja au hata kugawa kwa viteuzi tulivyovitoa tunakupa vijumlishi vya kupendeza. Kama ilivyodesturi yetu tunakupa viburudisho vingine katika kadanda kukusaidia ukifanya ubashiri. Wikendi hii kipengele muhimu kitakuwa ni:

Live Streaming

Tunakupa nafasi ya kufuatili matukio uliyoyakadiria moja kwa moja katika tovuti yetu ya Betway.

Kipengele hiki huandamana vyema na kile cha Cash Out kwani unapata nafsi ya kufanya uamuzi wa busara ili kujipatia ushindi.Kipengele hiki hakipatikani kwa matukio yote na huonyeshwa kwa ishara ya televisheni kinapokubalika.

Esports

Katika Dota shuhudia Evil Geniuses wakimenyana  na Og. Masoko yetu hapa Betway Tanzania yanakupa fursa kujishindia katika matukio yafuatayo. Og ambao wamepewa kijumulishi kikubwa zaidi cha 4.20 wakiweza kuutwa ushindi. 

Vichujo vingine vya kuangazia ni : nani atakaye pata Aegis wa kwanza, nani atajinyakulia kambi ya kwanza, mshindi wa ramani ya kwanza au ya pili, mshindi wa tower ya kwanza na idadi ya mauaji kila timu itakayotekeleza zaidi ya nyingine. 

Mashindano ya Formula 1 

 Katika mkondo huu wa mashindano madereva pamoja na timu zao watakuwa waking’ang’ania kukaa kileleni mwa jedwali. Hapa Betway Tanzania tunakupa nafasi ya kuchagua washindi katika sehemu hizi : raundi ya majaribio, mchujo na mbio za fainali.

Bashiri sahihi ni madereva wapi watamaliza katika nafasi za tatu bora na upate amana yako ikijumlishwa kwa tete za kupendeza kwa kila dereva. Je, ushindi mkubwa zaidi utakuwa ni wa muda gani? Jibu swali hili hili lililobeba vijumlishi visivyopungua 2.35. Iwapo timu uliyoichagua kuwa bora zaidi ni Haas F1 team basi tutakuzidishia amana yako kwa 250.0.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles