29.9 C
Dar es Salaam
Monday, March 4, 2024

Contact us: [email protected]

Matoleo katika Betway Tanzania

Hapa Betway tunakuthamini sana na kwa hiyo tunajitahidi kukupa wakati mzuri kila unapobashiri nasi. Tunafahamu kuwa unapenda ziada na vijumlishi ambavyo vitakupa donge no nono. Pia, tunaelewa kuwa ni jambo la kufurahisha kila upatapo fursa ya kubashiri mechi za timu uzipendazo pamoja na wachezaji unaowaenzi. Kwa sababu hii, tumekuandalia matoleo kadhaa yakufae unapobashiri michezo nasi. 

Ziada ya Usajili

Hapa Betway Tanzania tunakukaribisha kwa mikono miwili ukiwa mteja mpya.Tunakupa amana ya Tsh 3,000 pindi tu unapofungua akaunti kama mteja mpya. Ziada hii tunakupa hata usipoweka hela zozote kwenye akaunti yako.Kupata ziada hii bonyeza kwenye kiunga hiki nambari ya ziada ya Betway Tanzania kisha ufuate hatua zilizowekwa. Una uhuru wa kuitumia kubashiri katika mchezo wowote katika soko letu pana. Kisha upatapo ushindi unaweza kuzitoa hela zako mara moja bila vikwazo.Masharti yaliyowekwa lazima yazingatiwe unapotumia ziada hii.

Tunakurejeshea 20x amana yako

Bao la kusawazisha au kunyakua ushindi dakika ya mwisho ni tukio analolichukia kila mshiriki wa ubashiri. Hapa Betway Tanzania tumewasikiliza wateja wet na tukabuni suluhisho.Toleo hili linakupa mfano wa bima ikufae hili linapotokea. Ili kupata ziada hii, ni lazima uwekee amana matukio angalau sita yenye uwezekano wa 1.5 au zaidi. Hela utakazojishindia ukitumia ziada hii zitafika kwenye akaunti yako chini ya masaa ishirini na manne.Kiwango cha hela utakachopata kitalingana na kiasi cha tuzo katika ubashiri wako wa awali.

Zidisha ubashiri wako wa matukio mengi kwa 100%

Wingi wa matukio unaweza ukakupa ushindi mkubwa na wa kuridhisha, hili litakufarahisha sana. Kila mara unapoongeza tukio jipya kwenye orodha yako ya ubashiri yenye matukio kadhaa, tunakutuza nyongeza ya 100%  kwenye ubashiri wako. Sio lazima ujaze kodi ya mauzo kwani tunakupa nyongeza hii moja kwa moja. Kigezo kichowekwa tu ni kuwa, lazima matukio unayoyakadiria yawe na uwezekano wa ushindi wa 1.2 au zaidi.

Bashiri michezo inayoendelea

Upo wakati unaposahau au unakosa fahamu kuwa michezo unayoipenda inaendela kwa wakati ule, ila hukuweza kuiongeza katika orodha yako ya ubashiri hapo awali. Kuchelewa kuweka beti yako kusikupe wasiwasi kwa kuwa tunakupa nafasi ya kubashiri na kuweka beti yako michuano ingali inanendelea. Hili hukupa nafasi ya kufanya uamuzi bora kwa kuwa unafahamu jinsi mchezo unavyoendelea.Kwa kubashiri huku michezo ikiendlea unapata fursa ya kufurahia upana wa masoko yetu ikiwemo idadi ya mabao na kadi za onyo zitakazotolewa.

Katiza ubashiri mapema

Hii ni huduma inayokupa nafasi ya kutoa fedha zako kabla ya mchezo kukamilika.Unaweza kuutupilia mbali ubashiri wako nasi tutakuregeshea amana yako yote au sehemu yake kulingana na uchaguzi wako na muda uliopita mchezoni. Ikiwa yalibaki matukio yasiyozidi mawili katika wakati wa kuukatiza ubashiri, basi tunakuruhusu kuchukua asilimia kubwa ya kipato chako ukikatiza.

Jenga Ubashiri 

Hiki hukusaidia kukusanya michezo na mechi ya kubashiri kwa ufasaha na kasi. Unachohitajika ni kubofya kidude cha kuzindua unapoingia kwenye akaunti yako. Mitambo yetu kwa kutumia taarifa tulizozioa kwa muda itakuchagulia matukio yenye uwezekano mzuri wa kushinda.

Fuatilia Matukio

Tunakupa nafasi ya kufuatilia matukio uliyoyakadiria na mengineyo moja kwa moja katika tovuti yetu ya Betway. Haijalishi ni matukio katika spoti gani, kuna uwezekano wake kuonyeshwa hapa.

Toleo hili huandamana vyema na lile la kukatiza ubashiri mapema kwani unapata nafsi ya kufanya uamuzi wa busara ili kujipatia ushindi.Toleo hili halipatikani kwa matukio yote na huonyeshwa kwa ishara ya televisheni kinapokubalika.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
584,000SubscribersSubscribe

Latest Articles