21.5 C
Dar es Salaam
Saturday, July 27, 2024

Contact us: [email protected]

WHO:Chanjo isitarajiwe kutokomeza kabisa virusi vya corona

Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba inahitajika asilimia 60 mpaka 70 ya watu wapatiwe chanjo ili kupatikane kuwepo kinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona kwa makundi ya watu.

WHO limesema kwa namna hiyo mafanikio mazuri yataweza kupatikana katika mapambano dhidi ya janga hilo. Mratibu wa misaada ya dharura wa shirika la WHO,Mike Ryan amesema hata hivyo chanjo hiyo isitarajiwe kutokomeza kabisa virusi vya corona.

Amesema ili kufikia kiwango hicho wanasayansi watahitaji kufanya utafiti zaidi juu ya utaratibu mzima wa virusi vya SARS-CoV-2 vinavyosababisha ugonjwa wa COVID -19.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles