27.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, April 23, 2024

Contact us: [email protected]

WHI yaungana na wafanyakazi wengine kushiriki Mei Mosi, Dar

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Wafanyakazi wa Watumishi Housing Investments (WHI) wakiwa kwenye maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi (Mei Mosi) katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Maadhimisho ya mwaka kitaifa yamefanyika jijini Dodoma ambapo, mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani huku yakiongozwa na kauli mbiu ya Mishahara na Maslahi Bora kwa Wafanyakazi ndiyo kilio chetu: kazi iendelee.

Watumishi wa WHI wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Dk. Fred Msemwa wameshiriki maadhimisho hayo kimkoa kwa maandamano pamoja na Wafanyakazi wengine yaliyofanyika kimkoa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa, Amos Makalla.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles