31.7 C
Dar es Salaam
Thursday, March 28, 2024

Contact us: [email protected]

WENYE VYETI FEKI HATIMAYAO KUJULIKANA APRILI


NORA DAMIAN Na CHRISTNA GAULUHANGA-DAR ES SALAAM

HATIMA ya watumishi waliogundulika kuwa na vyeti feki itajulikana Aprili mwaka huu, iwapo watalipwa au laa.

Hayo yamebainika baada ya kikao cha pamoja baina ya Serikali na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA) kilichofanyika wiki iliyopita.

Akizungumza na waandishi wa habari Dare es Salaam jana, Katibu Mkuu wa TUCTA, Dk. Yahya Msigwa, alisema katika kikao hicho walielezwa kwamba suala hilo linashughulikiwa na mamlaka mbalimbali na majibu yatajulikana kabla ya Machi au Aprili mwaka huu.

“Walisema walilofanya (wenye vyeti feki) ni kosa la jinai na la nidhamu, ni sawa lakini bado tunaendelea kuipigia magoti serikali, tunaomba ufanyike ………………………………….

Kwa habari zaidi jipatie nakala ya MTANZANIA.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles