23.6 C
Dar es Salaam
Friday, April 26, 2024

Contact us: [email protected]

Wema, Kajala wamaliza bifu

Wema Sepetu
Wema Sepetu

NA RHOBI CHACHA, DAR ES SALAAM

MUIGIZAJI wa filamu nchini, Wema Sepetu, amesema amefurahi kurudiana ‘ushosti’ na muigizaji mwenzake, Kajala Masanja.

Akizungumza na MTANZANIA mwanzoni mwa wiki, Wema alisema pamoja na Kajala kumkosea ila amefurahi kuwa naye karibu kwani alikuwa anakwazika na hasa alipokuwa anasikia habari zake kwa watu wa karibu na Kajala.

“Nashukuru Mungu hili bifu limeisha kiukweli, nimefurahi sana kwani nilikuwa nakwazika kila nikipata habari za Kajala kwa watu wake wa karibu, kiukweli nimefurahi,” alisema Wema.

Wema Sepetu na Kajala walikuwa na bifu lililokuwa linadhaniwa haliwezi kumalizika hadi kufikia hatua ya kuundwa kwa makundi yanayodaiwa ya kiuchochezi baina yao.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles