22.1 C
Dar es Salaam
Sunday, June 23, 2024

Contact us: [email protected]

Wema ampaisha Ali Kiba

wema2MREMBO ambaye anatikisa hivi sasa kwenye mitandao ya kijamii, Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram aliandika maneno ambayo yalionyesha ni diss ya wazi kwa Diamond na kumpaisha Ali Kiba.

Diamond hivi sasa anajiita Simba jina ambalo mastaa wengi wanalimezea mate.

-Walikuwa wanasubiri na mimi nitaje jina langu la mnyama, mimi ni Mnyanma ndiyo na jina langu ni Wema kama balozi wa wanyama alivyosema’ aliandika Wema Wataalamu wa mambo wanasema balozi aliyetajwa hapo ni mkali Ali Kiba kwa sababu ni balozi wa kutetea haki za wanyama kupitia taasisi ya Wild Aid

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles