29.9 C
Dar es Salaam
Monday, March 4, 2024

Contact us: [email protected]

WCF yaanza maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja

Afisa Uwekezaji Mwandamizi, Annamaria Mwamyalla akitoa huduma kwa mmoja wa wateja waliotembelea Ofisi za Mfuko wa Fidia zilizopo kwenye Jengo la Victoria jijini Dar Salaam.

Dk. Damian Elias Afisa Tathmini Madai akizungumza na baadhi ya wateja wakati wa sherehe za maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja waliotembelea Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi zilizopo Jengo la Victoria jijini Dar es Salaam.

Afisa Sheria Mwandamizi, Deo Ngowi akimkabidhi zawadi ya fulana mmoja ya wateja waliotembelea Ofisi za Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi wakati wa sherehe ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.

Meneja Madai, Rehema Kabongo akimkabidhi zawadi ya fulana mmoja wa wateja waliofika kupatiwa huduma kwenye Ofisi za Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi wakati wa Wiki ya Huduma kwa Wateja.

Afisa Utumishi Mwandamizi, Thadey Kimati akitoa huduma kwenye dawati la huduma kwa wateja wakati wa sherehe za Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa wateja walifika kwenye Ofisi za Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi zilizopo Jengo la Victoria, jijini Dar es Salaam leo Jumanne Oktoba 5, 2021.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles