26.7 C
Dar es Salaam
Monday, June 24, 2024

Contact us: [email protected]

Waziri Gwajima awataka watendaji kufanya kazi kwa bidii

Na Mwandishi Wetu, Mwanza

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amewataka watendaji kufanya kazi kwa bidii kwa lengo la kuisaidia jamii iepuke kusafiri kwenda nje ya nchi kufuata huduma wakati serikali imeboresha huduma za afya kwa kusambaza vifaa tiba.

Dk. Gwajima amebainisha hayo leo Jumapili Novemba 14, 2021 jijini Mwanza katika
Kongamano na mkutano mkuu wa mwaka wa chama cha wataalamu wa mionzi na Tiba uliohusisha Radiolojia kutoka nchi wanachama wa Afrika Mashariki Tanzania, Kenya, Uganda na Burundi.

Amewakata kufanya kazi kwa ishindani katika utoaji wa huduma kwa jamii ili kukabiliana soko katika nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ambao wanatumia wataalamu wenye viwango vya kimataifa ili kuwezesha wananchi wanapata huduma inayo stahili hawa serikali itakapoanza kutoa huduma ya Bima ya afya kwa wote.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles