28.2 C
Dar es Salaam
Sunday, January 5, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Wasanii wafurahia kuongezwa ukubwa Instagram

DiamondNA BEATRICE KAIZA

WATUMIAJI wa mtandao wa Instagram akiwemo msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Nassib Abdul ‘Diamond’, wameonekana kufurahia kuongezewa nafasi ya kuweka video katika mtandao huo kutoka sekunde 15 hadi 60.

Diamond na watu wengine walituma baadhi ya video zenye urefu wa muda ulioongezwa kama ishara ya kufurahia ukubwa huo ulioongezwa kwenye mtandao huo wenye watumiaji zaidi ya milioni 400 duniani kote.

“From 15 seconds to 1 minute’ mwee! Asante instagram kwa kutuongezea urefu wa hizi ‘clip’ tujinafasi,” aliandika Diamond kwenye video aliyoituma akiwa na mtoto wake kwenye kifaa cha kubeba mtoto akiwa anavutwa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles