WANAOTAKA KUJITENGA WASONGA MBELE YEMEN

0
776

ADEN, YEMEN


WAPIGANAJI wanaotaka kujitenga nchini Yemen, wakiungwa mkono na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), wamekamata eneo kuzunguka makazi ya rais katika mji wa kusini wa Aden jana.

Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia, unaojumuisha UAE, umekuwa ukipambana na waasi kaskazini mwa Yemen kwa karibu miaka mitatu kwa niaba ya Serikali ya Rais Abed Rabbo Mansour Hadi.

Lakini licha ya kuwa na adui wa pamoja, UAE imekuwa katika mvutano wa muda mrefu wa kuwania madaraka na uongozi wa Hadi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here