24.7 C
Dar es Salaam
Saturday, April 13, 2024

Contact us: [email protected]

WAFUNGWA 35 WAUAWA GEREZANI, VENEZUELA

Gavana wa jimbo la Amazonas nchini Venezuela amesema zaidi ya wafungwa 35 wameuawa katika kile kilichoitwa ”Mauaji” ndani ya gereza.

Kikosi maalumu cha jeshi cha Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo kimepelekwa kudhibiti hali ndani ya gereza katika mji mkuu wa jimbo hilo, Puerto Ayacucho.

Watu walioshuhudia tukio hilo wamesema walisikia milio ya risasi kwa saa kadhaa.

Hakuna kauli yoyote iliyotolewa na serikali mpaka sasa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles