27.7 C
Dar es Salaam
Monday, February 26, 2024

Contact us: [email protected]

Vuta nikuvute kuendelea wiki hii barani Ulaya

Tandaza Jamvi Lako la Kibingwa Kupitia Meridianbet!!

Mambo yanaendelea kunoga kunako Mashindano ya UEFA, Ligi ya Europa na ligi zingine barani Ulaya. Unamdhamini nani wiki hii?

Kwenye Championship Jumanne hii ni Derby County vs Brentford. Ukiachana na EPL, ligi ya Championship inaburudani ya aina yake. Hakika kuisaka nafasi ya kucheza EPL, mvutano wake sio mrahisi! Meridianbet tumekupa odds ya 2.05 kwa Brentford.

Kwenye Ligi ya Mabingwa, Real Madrid kuwaalika Atalanta leo usiku pale Alfredo Di Stefano. Je, faida ya goli 1 la ugenini itawavusha Madrid au Atalanta watapindua meza? Kupitia Meridianbet, umepatiwa Odds ya 2.15 kwa Madrid.

Kule Urusi Jumatano hii ni CSKA Moscow vs Zenit St. Petersburg. Huu ni mchezo unaozikutanisha timu 2 kubwa kwenye Ligi soka nchini Urusi. Kama mteja wa meridianbet, hii ni fursa kwako. Tumekupatia Odds ya 2.35 kwa Zenit.

Chelsea atakuwa Stamford Bridge kuwaalika Atletico Madrid. Kama ilivyo kwa Madrid, Chelsea anafaida ya goli 1la ugenini. Lakini je, faida ya goli la ugenini itamsaidia Tuchel kusonga mbele au El Cholo atalipiza kisasi na kuvunja daraja Jumatano hii? Kupitia Meridianbet, Chelsea amepatiwa Odds ya 2.35

Kunako Ligi ya Europa alhamisi hii ni Dynamo Zagreb vs Tottenham Hotspurs. Jose Mourinho anaingia mchezoni akiwa na hasira ya kupoteza mchezo wa London Derby dhidi ya Arsenal wikiendi iliyopita. Hasira za Spurs zitawapa matokeo chanya kwenye mchezo huu? Meridianbet tumekupatia Odds ya 2.10 kwa Spurs.

Patachimbika pale katika dimba la San Siro alhamisi hii. Ni AC Milan vs Manchester United. Baada ya sare ya 1-1 pale Old Trafford, sasa vita inahamia Italia, nani atasonga mbele msimu huu, ni Bruno Fernandez au Zlatan Ibrahimovic? Meridianbet tumekupatia Odds ya 2.25 kwa United.

Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles