Virusi vipya vya corona vyaripotiwa Taiwan

0
220

Taipei, Taiwan

Waziri wa Afya wa Taiwan, Chen Shih-chung, amesema kuwa kisiwa cha Thailand kimethibitisha wagonjwa wa kwanza waliopata aina ya virusi vya corona vya Afrika Kusini.

Watu hao walikuwa wamesafiri katika nchi jirani ya Eswatini, iliyokuwa ikiitwa zamani Swaziland, inayopakana na Afrika Kusini.

Kuanzia Alhamisi, yeyote anayesafiri kwenda Eswatini katika kipindi cha siku 14 atalazimika kwenda karantini katika majengo ya serikali.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here