25 C
Dar es Salaam
Wednesday, April 24, 2024

Contact us: [email protected]

Viongozi Nchini Kenya waomboleza Kifo Mama Saraha Obama

-Kenya

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta pamoja na Viongozi wengine wameendelea kutoa Salam za Rambi rambi kufuatiwa Kifo cha Bibi wa Rais wa zamani wa Marekani, Barrack Obama.

Kifo hicho cha Bibi Sara Obama kimetokea siku ya Jumatatu Machi 29 Hospitali moja Magharibi mwa Kenya baada ya Kuugua kwa muda mfupi.

Pia Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amempongeza Bi Sara Obama kwa kuwa nguzo ya familia baada ya kifo cha mume wake na kutumia nafasi ya mjukuu wake Obama kwa kuimarisha masomo kwa watoto wa kike na kukabiliana na maovu katika jamii.

Hata hivyo dada wa Rais Obama, Auma Obama kupitia Ukurasa wake wa mtandao wa kijamii Twitter ameandika kuwa amepatwa na simadhi kufuatiwa kifo cha Bibi yake na alibarikiwa kuwa na ukaribu naye kwa Muda mrefu.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles